Forex Basics: A Complete Beginner’s Guide to Forex Trading
Learn Forex from scratch with a step-by-step foundation designed for complete beginners.
About this Course
Forex Basics: A Complete Beginner’s Guide to Forex Trading
Hujawahi kujifunza Forex kabla? Uko sehemu sahihi.
Kozi hii imeandaliwa kwa ajili ya complete beginners — mtu ambaye hajui Forex ni nini, inavyofanya kazi, au aanzie wapi.
Tutaanza kutoka zero, hatua kwa hatua, na kujenga msingi imara wa kuelewa Forex kabla ya kuingia kwenye concepts za juu zaidi.
Katika course hii utajifunza misingi muhimu ya Forex kwa mpangilio rahisi na unaoeleweka, kupitia mfululizo wa lessons zilizopangwa kutoka mwanzo hadi hatua zinazofuata.
Utajifunza kuhusu:
Forex ni nini na inavyofanya kazi
Currency pairs na jinsi zinavyosomeka
Major, Minor na Exotic pairs
Pips na jinsi zinavyotumika
Lots na position sizing
Leverage na margin
Spread na gharama za trading
Trading sessions
Market structure na concepts nyingine muhimu za msingi
Risk management na misingi ya responsible trading
Na concepts nyingine muhimu za kujenga foundation yako ya Forex
Hakuna shortcuts. Hakuna promises za kupata faida.
Lengo la course hii ni kukupa uelewa sahihi wa Forex kutoka mwanzo, ili ujenge foundation kabla ya kuanza kufanya maamuzi ya trading.
Start from Lesson 01 and build your Forex knowledge step by step.
Free Preview: Biashara ya Forex ni Nini? | FOREX BASICS EP. 01
Course Curriculum (42 Lessons)
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE
-
FREE